RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WAGANGA WA KIENYEJI WAZIDI KUJISALIMISHA KWA YESU KATIKA MKUTANO WA INJILI WA SIKU 8 ZA MIUJIZA KIZANI GEZAULOLE KIGAMBONI - BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE


Siku ya tarehe 27.02.2016 katika viwanja vya kanisa jipya la Kizani Gezaulole Mlima wa Moto ambalo lipo chini ya Bishop Dr. Gertrude Rwakatare wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", mama mmoja aliyejiita mganga wa kienyeji aliweza kumrudia Mungu baada ya kuvutiwa na mahubiri ya Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Baada ya kuvutia aliweza kukabidhi silaha zake ziangamizwe na kuteketezwa. 

Ndugu msomaji tunakuandalia ushuhuda wa huyu mganga  ili uweza kujua mengi kuhusiana na maisha yake na kazi zake alizokuwa akizifanya kuwatesa wanadamu. Mungu akubariki sana



 Huyo anayecheka sana naye alikuwa mganga lakini alijisalimisha kwa Yesu hapo mkutanoni na sasa anafurahia wokovu














BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KUONA MATUKIO MENGINE









Comments