RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WATANGAZAJI WA PRAISE POWER WAKO FIT NA MEGA MKATE NA PRAISE POWER RADIO..ANGALIA HAPA WAKICHEZA~ NA BAHATI BUKUKU

Harakati za Meaga Mkate na Praise Power Radio za zidi kuwaka moto. Bahati Bukuku ndani ya Praise Power Radio Mikocheni "B" jijini dar es Salaam aliweza kuonyesha kipaji chake cha kucheza wimbo wa Goodluck Gozbert na pia kuimba wiimbo wake mpya wa ndoa. Watangazaji hawa ambao wamesema wamejipanga vizuri kwaajili ya kuonyesha kazi ya Mungu pamoja na waimbaji zaidi ya 20 maarufu watahakikisha moyo wako unapona na imani yako kuongezeka ya kumuamini Mungu kwa njia ya uimbaji. Hii ni siku ya kutokosa ndani ya Urafiki Social Hall Sinza Legho Dar es Salaam siku ya Jumapili ya Pasaka 27.03.2016 saa 7 mchana hadi 12 jioni. Usiache kuja na 5,000/= kwa watoto na 10,000 kwa wakubwa ili uweze kuingia ukumbini. Kutakuwa na red carpet, watu mtapiga picha na watangazaji wa PPR. Angali clip hii ya Bahati akihojiwa na PPR na pia alivyoweza kucheza na watangazaji waq PPR

Comments