RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ANGALIA CLIP HII IKIELEZEA KIFO CHA PAPA WEMBA NA HISTORIA YAKE KWA UFUPI

R.I.P Papa Wemba. Watu watajifunza mengi kutoka kwako na watachagua lipi litawafaa. Umeondoka na muziki wako limebaki jina tu, wapenzi wako hawatasiki tena sauti yako live. Sisi tuliobaki tunajifunza nini kupitia kifo cha rafiki yetu Papa Wemba. Tujiandae kwani hatuji lililo mbele yetu. Tushi maisha ya hofu ya Mungu kila wakati. Katika kazi yako au eneo lako la kutafutia riziki libariki ili lolote baya litakapotaka kukufikia basi lishindwe kwani kuna nguvu za Mungu. Papa Wemba ametuacha tutabaki kusikia nyimbo zake na yle aliyofanya katika jamii iliyomzunguka. RIP Papa Wemba

Comments