MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

ANGEL BENARD AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME.


Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Tanzania ambaye kwa sasa anatamba na video yake ya Salama, Angel Benard alfajiri ya leo amejifungua mtoto wa kiume katika hospitali ya AICC huko Arusha.
Mume wa mwanamuziki huyo bwana Godsave Sakafu amethibitisha hilo kwa kuandika kwenye ukuta wake wa facebook kuwa wamepata mtoto wa kiume na wamempa jina laBrachah Testimony.

“At the AICC hospital alfariji ya leo a baby a boy Brachah Testimony Godsave is born (BT) Tunamshukuru Mungu kwa baraka hii. Mama na mtoto wapo salama“ ameandika mume wa mwimbaji huyo.
0