ANGEL BENARD : SAA 3 ASUBUHI WIMBO WA SALAMA UTAKUWA YOUTUBE

Wandugu leo 14/4/2016 Ikifika saa tatu asubuhi video ya wimbo wa salama itakuwa YouTube lakini pia wimbo wa salama utakuwa Mkito. Nakuomba sana mtu wangu unisaidie Ku share na rafiki ili wote tushiriki Baraka hizi. Mbarikiwe

0