RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

FAIDA ZA KUPANDA MBEGU-MCH. OTIENO ALIHUBIRI KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI 10.04.2016...HUYU HAPA

Watu wengi wanashindwa kufikia yale malengo waliyopanga kutoka na kutotii yale ambayo Mungu anayaagiza katika Biblia yake na kwa kupitia watumishi wa Mungu. Wtu wengi wamekuwa wagumu sana katika utoaji, hawapendi kupanda mbegu ili baadae waweze kuvuna. Mkulima naye anapotaka kupata mazao mengi ni lazima apande mbegu moja ili baadae apata mbegu nyingi. Sasa naomba uungane na Mch. Otieno wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" usikie kile alichoagizwa na Mungu siku ya Jumapili 10.04.2016 kwaajili ya kubadilisha muonekano wako wa maisha ya sasa na kuwa na maisha bora na yenye furaha kwa kupanda mbegu kwa Mungu.

Comments