Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » FILAMU MPYA YA "MKWE" IMEZINGATIA KILE MASHABIKI WANATAKA: ODAMA


Sanga Rulea 4:57 AM 0

 Odama Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametambulisha ujio wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la MKWE ambapo ameleza kuwa imezingatia maoni ya mashabiki zake. Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Odama ameandika haya mara baada ya kuweka picha
ya kasha la filamu yake hiyo hapo juu. Ndugu Zangu, Jamaa, Mashabiki, Team Pamoja Na Wapenzi Wa Filamu Nchini Tanzania Leo Ni Siku Maalumu Ya Kutambulisha Cover Na Poster Maalum Inayotambulisha Filamu Yangu Mpya Ya “MKWE” Iliyoandaliwa na Kampuni Ya J-FILM4LIFE Itakayotoka Rasmi Tarehe 18.04.2016. Filamu Hiyo Ni Kwa Ajili Yako Na Kutokana Na Maoni Ya Wengi Nimeiandaa Kwa Umakini Na Katika Mazingira Ambayo Kila Mwanajamii Ataifurahia Kwani Imechunguzwa Na Wahusika Maalum Na Kuhakikisha Kua Inaangaliwa Na Rika Zote Ili Kila Mmoja Atakayeipata Aweze Kupata Kitu Ambacho Roho Yake Inaridhika. Usiikose Pindi Ifikapo Kitaani Kwako. Tag Rafiki Yako Akumbuke Tarehe Hii…. Tag, Share, Repost Kwa Rafiki Zako Ujumbe Huu… Nawapenda Sana. 

Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS