HAWA WANDUGU WATAWASHA MOTO MAREKANI..WASIKIE HAPA

May 28th and 29th, 2016 from 3 pm. FREE EVENT. Welcome everybody.
Tutakuwa na praise and worship itakayohamisha milima. Waimbaji wengi watakuwepo kutuhudumia na kuimba nyimbo zao. Henoc Mwamba, Furaha Mweshama, Aline Vyuka, Makechi, T-Unit, Kwaya ya Sioux Falls, David Kambowa, Justin Kaego, na wengin

0