RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JIPYA KUHUSU KIFO CHA PAMBA WEMBA, TAZAMA HUYU JAMAA KWENYE VIDEO ANAVYOIHAMISHA KIPAZA SAUTI KINACHO HISIWA KILIKUWA NA SUMU...


Taarifa ambazo zinazidi kuenea kwenye vyombo vya habari Congo na mitandao ya kijamii hata hapa Tanzania ni msiba wa Papa Wemba lakini sasa mjadala umehamia kwenye namna kifo chake 

Kipande cha video kinachomuonesha jamaa akichukua mic halafu akairudisha kwenye stage na baada ya Pamba Wemba Kuanguka inadaiwa jamaa yuleyule badala ya kumsaidia alikimbilia mic ili isijulikane. Taarifa zinazoenea ni kwamba mic ile ilikuwa imewekewa sumu. 

Hapa Mwanamuziki wa Congo anayeishi Tanzania, Papii Catalogue ameitafsiri video hiyo kwa lugha ya kiswahili, unaweza kuitazama