RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

LIST YA VISIWA 10 BORA DUNIANI 2016 IMETOKA, AFRIKA KIPO KIMOJA TU.




Duniani zipo sehemu nzuri na za kuvutia zaidi, maeneo mengi ya visiwani yanawezekana yakaongoza kwa kuvutia kutokana na kuwa na mazingira mazuri ya asili yanayovutia, watu wengi hutumia maeneo haya kwa ajili ya mapumziko na utalii.

Mtandano wa CNN wametoa hii list ya Top Ten ya visiwa bora zaidi duniani 2016

10. Fernando de Noronha, Brazil


Idadi ya watu wanaoruhusiwa kutembelea fukwe ya Fernando de Noronha ina kiwango

9. Bora Bora, French Polynesia


Fukwe zenye mchanga mweupe na rasi ya bluu ni sababu mbili ambazo zimeifanya Bora Bora kuwa kwenye nafasi ya tisa kwa mwaka wa pili mfululizo

8. Phuket, Thailand

7. Mauritius, Africa


6. Mallorca, Spain


5. Bali, Indonesia

Bali ni kati beach nzuri inayojulikana lakini pia ina mfumo wa matuta ya mchele ambayo yanalindwa na UNESCO

4. Providenciales, Turks and Caicos


Inajulikana kama ‘Provo’ Providenciales ni kisiwa kilichoendelea sana.

3. Jamaica, Caribbean

Haikuwa kwenye orodha ya Top ten mwaka uliopita lakini sasa imefika hadi nafasi ya tatu

2. Santorini, Greece


Kisiwa hiki kina Mabaki ya Volcano iliyolipukia kwenye bahari ya Aegean na ina beach yenye mchanga mweusi

1. Maui, Hawaii


kisiwa hiki kina beach nzuri na zenye kuvutia zaidi ya 80

Comments