MANENO YA KUTIA MOYO KUTOKA KWA MTANGAZAJI WA PRAISE POWER RADIO JOHN KISAKA KWA VIJANA

Hapa kazi tu ndio habari ya Tanzania haijalishi sina ya kazi,vijana sasa wameamua kuyahamisha mashamba kutoka vijijini kuja mjini, Biashara ya mahindi ya kuchoma inasemekana kua inalipa zaidi ya magunia ya mahindi ,kila kona ya jiji la Daresalam utakuta vijiwe vya mahindi ya kuchoma, walaji Wa mahindi hayo wanadai kipindi hiki cha mvuamvua mhindi wakuchoma unakua mtamu zaidi, haya nawe usipitwe namchezo huo Wa meno, hamsini,hamsini-miaaaaaa!!!!!!! Hapo kijana akiandaa mazingira ya kuaza kuchoma mahindi asubuhi hii mbezi jijini Daresalaam.
John Kisaka

0