MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MAREHEMU LIYUMBA AUNGAMA DAKIKA 30 KABLA YA KIFO

Mwandishi wetu, Risasi Mchanganyko
DAR ES SALAAM: Huzuni kubwa! Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Amatus Liyumba (68), aliyefariki dunia juzi, anadaiwa alisali kuungama dhambi zake, nusu saa kabla ya kukutwa na umauti.
Liyumba alikuwa akisumbuliwa na maradhi ambayo hayakuwa wazi.
Siku tatu kiabla ya kifo, Liyumba alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Dar es Salaam.
Ndugu wagoma kutaja kutaja hospitali ambayo marehemu alitibiwa mara ya mwisho
Kumbe Mwaka 2008, Liyumba aliwahi kuanguka akiwa ofisini kwake.
MAISHA YAKE, MIKASA ILIYOMKUMBA MPAKA KUTUMIKIA JELA

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Amatus Liyumba enzi za uhai wake.

Kesi yake Mahakamani alivyoisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 221 mpaka kufungwa jela.
Alivyopata msala mwingine akiwa Gerezani Ukonga.
Maisha yake Gerezani mpaka kumaliza kifungo hicho.
BADO AANDAMWA NA MABALAA
Baada ya kutoka jela akumbwa na balaa jingine la aina yake.
Jifikishwa tena Mahakamani kwa mara nyingine.
Maisha yake yalikuwa ni zaid.
Dakika chache kabla ya kifo chake, alifumba macho akasali.
Ni majonzi makubwa.

Source: Global Publisher
0