MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MSANII BONGO MUVI AFARIKI AKIJIFUNGUA

DAR ES SALAAM: Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Filamu alizowahi kucheza?
Aishiwa nguvu wakati wa kujifungua.
Aabainika kutokuwa na damu ya kutosha.
Madaktari washindwa kumfanyia upasuaji
Bahati nzuri ajifungua salama.
Apatwa balaa lingine baada ya kujifungua, afariki dunia.
Mama wa Marehemu afunguka mazito kuhusu kifo cha mwanaye.
Simulizi ya kifo chake inasikitisha sana!

“Inauma sana, mwanangu amefariki kwa maumivu maana shida ilikuwa ni ambulance, kama ingepatikana kwa wakati naamini angepona lakini ndiyo hivyo tena, kazi ya Mungu haina makosa,” alisema mama huyo kwa uchungu huku akitokwa machozi.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina!
0