RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWIMBAJI WA GOSPEL BONGO ALEX KISONGA ATOBOA SIRI YA NGOME ANAYOITEGEMEA KATIKA MAISHA YAKE

Bwana ndio ngome yangu na wokovu wangu nimwogope nani? ijapo hali ya kiuchumi duniani wana zungumza ni mbaya mimi ila uchumi wa mbinguni hauja poromoka ijapo wanasema mcc usa wamezuia misaada nisawa ila mbinguni hawaja zuia misaada ijapo watu wanatetemeka hali yafedha nchini sio nzuri mimi ninafurahi kwamba anayelitaja jina la Mungu kila anapo funga sentesi ya yake kaishika nchi.

 Alex Kisonga

Comments