EXCLUSIVE: MWIMBAJI WA GOSPO ASIYEJUA KISWAHILI PEACEKING DAVID AELEZEA MAISHA YAKE YA KIMUZIKI NA KWANINI AIMBE KISWAHILI, ATOA USHAURI KWA NDOA ZA WATUMISHI WA MUNGU KUWA IMARA

Sikiliza mahojiano kati ya Rumafrica Let Us Talk na mwimbajio wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria dada Peaceking David ambaye hajui lugha ya Kiswahili lakini anaimba nyimbo zake kwa lugha ya Kiswahili akielezea maisha yake ya Muziki, kwanini amekuja Tanzania, Kwanini anawapenda Frola Mbasha, Rose Muhando, Christina Shusho, Vocapella na waimbaji wa Tanzania, ushauri wake juu ya ndoa zisizodumu kwa watumishi wa Mungu, ujio wa albamu yake yenye nyimbo sita za Kiswahili, malengo yake ya badae. Pia amesema yupo tayari kufanya kazi ya Mungu na wewe ukimpigia kwa simu  +255 715 851 523 au +255 785 501 594. Facebook utampata kwa Peace David