NDOTO YA VIN DIESEL YA KUIMBA KANISANI NA KWAYA YATIMIA. (+VIDEO IKO HAPA)Vin Diesel akiwa na Marehemu Paul Walker.Mwigizaji maarufu wa filamu nchini marekani Vin Diesel mwenye umri wa miaka 48, anaetamba na movie ya Fast Fast and Furious, amewaacha watu midomo wazi baada ya kuimba wimbo wa "Oh Happy Day" kanisani na kwaya ya kanisa hilo.

Pia mwigizaji huyo alisema "Nataka kusema, ndoto yangu siku zote ni kwamba nipate ujasiri wa kuweza kuimba katika kwaya".

ANGALIA HAPA AKIIMBA

0