RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PICHA ZAIDI YA 14 ZA HAPPY BIRTHDAY YA MELISA NJAVIKE KASEMBE MUUMINI WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Hivi ndivyo alvyosema baada ya kufanyiwa surprise na wafanyakazi wenzake wa Bank ya Access jijini Dar es Salaam, "Eti ndo suprise hiyoooo! Niko ofsn nafanya kazi, mara nkaona box limewekwa kny keyboard ya my lapto, mara maua yakafunika laptop na box nkajaribu kuinua macho nkafunikwa na net! Khaaa ndo birth dei iyoooo!!! Sio kwa utundu huo watoto wa mimi."

ZAWADI KUTOKA KWA MUME WAKE
Baada ya surprise kufanyika alikuwa na haya ya kusema kuhusu zawadi yake kutoka kwa mume wake Bwana Kasembe ambaye alikuwa safarini na hakuwepo siku ya birthday yake, "My hubby dooh!! Kama kawaida yake mume mwema, keki imetumwa kutoka hukoooo aliko 6 hrs to Dar, wanaume waliotoka kwa Yehova. Thanx Hon LK my one and only, my best friend forever."


PART IKAANZA NA MAFOTOZIIII






MAKEKI YAKAANZA KUCHUKUA NAFASI YAKE








FUNGUA TUONE ILIFUATA
Alikuwa na haya ya kusema, "Kilichofuata, fungua tuone!!!! Kilichomo kny huo mbox. Michongo yote hii Lenna Mkisi ndo alikuwa kiungo no 7."

Comments