MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA: ZA MWISHO ZA PAPA WEMBA AKIWA STEJINI NA MPAKA ALIPOFARIKI PAMOJA NA PICHA ZA NYUMBANI KWAKE WAKIOMBOLEZA

Congolese music star's final moments alive [PHOTOS]

According to a report by BBC, the 66-years old music star collapsed on stage while performing at a concert and was eventually pronounced dead.
Influential Congolese music star, Papa Wemba, is dead.

Papa Wemba who was also known as the driving spirit behind a cult movement known as "Sapeurs" whose members spend huge amounts of money on designer clothes died while performing on stage in Abidjan, Ivory Coast.

According to a report by BBC, the 66-years old music star collapsed on stage while performing at a concert and was eventually pronounced dead.

Take a look at his final moments alive:
Papa Wemba performs during the FEMUA music festival in Abidjan before collapsing on stage (Twitter)
Papa Wemba performing on stage before his collapse (Newvision)
Papa Wemba performing on stage before his collapse (Newvision)
Papa Wemba performing on stage before his collapse (Newvision)
A shot taken from Ivory Coast national television RTI 1 on April 24, 2016 shows Congolese music star Papa Wemba collapsing on stage during the FEMUA music festival in Abidjan (Newvision)

Papa Wemba became prominent on the African music scene since 1969, with his soukous rock music.

He won a world following with his soukous rock music and remained one of Africa's most popular musicians until his death.

HALI ILIVYO NYUMBANI KWA PAPA WEMBA  MATONGEPunde baada ya kupokea habari ya kifo cha ghafla cha gwiji wa muziki wa Soukus Papa Wemba akiwa katika tamasha la muziki la Abidjan Ivory Coast , maelfu ya jamaa marafiki na mashabiki wake walianza kumiminika nyumbani kwake huko Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Dadake Akita Helena na mamake Papa Wemba wamekuwa wakiwapokea waombolezaji nyumbani kwao Matonge.
Nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Papa Wemba alifariki dunia baada ya kuzirai jukwaani.

Papa Wemba ambaye jina lake halisi ni Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba, alianguka na kufa jukwaani akiwatumbuiza maelfu kwa maelfu ya mashabiki wake waliojitokeza katika tamasha la muziki mjini Abidjan Ivory Coast.
Gwiji huyo wa muziki wa lingala alizaliwa mnamo Juni 14 mwaka 1949, katika eneo la Lubefu – Wilaya ya Sankuru nchini Congo.
Papa Wemba, kama alivyofahamika na mashabiki wake, alikuwa na umri wa miaka 66 na alikuwa amepata uraia wa Ubelgiji.
Alikuwa maarufu katika micharazo ya muziki wa Soukous, Alikuwa mmoja kati ya wanamuziki maarufu sana barani Afrika na kote duniani.
Msanii huyo nguli mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni anasemekana alianza kutetemeka, kisha akaanguka na kuzirai, alipokuwa akitumbuiza jukwaani Abidjan.

Vibao vyake ni kama Mwasi,show me the way, Yolele, Mama,Proclamation”Chouchouna” (Papa Wemba), “Eluzam” na ” Mbeya Mbeya” (Evoloko Lay Lay), “BP ya Munu” (Efonge Gina), “Mwana Wabi” , “Mizou” (Bimi Ombale) , “Zania” (Mavuela Somo.
0