Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » PRINCE ALIKUTWA NA UKIMWI MIEZI SITA KABLA KIFO CHAKE..ALIKATAA KUPATA TIBA KWA SABABU ALIAMINI MUNGU ATAMPONYA


Sanga Rulea 5:42 PM 0


Ripoti ya kwanza ya kifo cha mwanamuziki mkongwe wa Pop, Prince imeonesha kuwa mwanamuziki huyo alikuwa na virusi vya ukimwi.
Mtandao wa Daily Mail umesema kuwa staa huyo wa Purple Rain alikutwa na virusi vya Ukimwi miezi sita iliyopita baada ya hali kuwa mbaya japo aliambukizwa ugonjwa huo miaka ya 90.
Ripoti hiyo imedai kuwa Prince alikataa kutibiwa kwasababu alikuwa anaamini Mungu atamponya.
Vyanzo vya karibu na staa huyo vimedai kuwa alikuwa anajiandaa na kifo chake na alikuwa akitumia dawa za kutuliza maumivu, Polisi wamethibitisha kuwa alikutwa na dawa hizo hata baada ya kifo chake.
Staa huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 57.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS