RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TUMAINI NJOLE ATAIMBA KATIKA IBADA YA KUFUNGULIWA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, Tumaini Njole anayetamba kwa wimbo wa Sema na Yesu Jumapili hii atakuwepo katika ibada ya KUFUNGULIWA KWAKO ya Mlima wa Moto Mikocheni "B" jijini Dar es Salaam kwa Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Ibada hii itaanza saa 3 asubuhi, kwahiyo unaombwa sana kutokosa katika ibada ya kufunguliwa katika mitego ya shetani.

Comments