RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UENDE WAPI TENA KAMA SIO MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII YA KUFUNGULIWA KWAKO

Umehangaika sana kutafuta amani ya moyo wako lakini hujafanikiwa, sauti ya Mungu inakuita leo njoo…njoo….njoooo uungane na waumni wenzako Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwani huko kuna jibu lako. Inaumiza sana kuona mtu anahangaika na hana amani wakati yupo wa kukupa amani ndani ya moyo wako. Kimbilia kwa Yesu sasa ndugu yangu. Acha kuhangaikahangaika kwa waganga ili wakupe dawa upate amani. Mungu wetu wa Mlima wa Moto ana kila kitu kwaajili yako. Acha kuteseka peke yako wakati Mungu ameweka watumishi wa Mungu Mlima wa Moto watakaokusaidia wewe ndugu yangu. Naomba utii haya ninayokuambia na Jumapili hii nikuone Mlima wa Moto saa 3 asubuhi. Mungu akuwezeshe upate nauli ya kufika kanisani kwa Jina la Yesu Kristo.



Comments