RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: GARI LILILOZAMA BAHARINI KIVUKONI DAR ES SALAM APRIL 20 2016….


April 20 2016 gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa ndani ya Pantoni kuelekea Kigamboni Dar es salaam liliserereka na kuzama baharini ambapo inasadikiwa lilikuwa na watu wawili, uokoaji ulifanyika ambapo asubuhi jeshi la zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja na mchana mwili wa pili wa Nice Karago ukapatikana.

Comments