MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

WALOKOLE WAZICHAPA LAIVU, KISA PENZITimbwili likazua balaa.

Stori: Francis Godwin, UWAZI
IRINGA: ‘Jaribu la mtu si kwamba kaomba, bali ni kikombe tu lazima akinywe’, huu ni wimbo ulioimbwa na mwimbaji mmoja wa nyimbo za Injili maarufu nchini.
Waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) la mjini Iringa wamezichapa laivu mchana kweupe. Wadaiwa kugombea uhusiano. Ni baada ya mmoja wao adai kuchukuliwa mme wake wa ndoa.
“…. amekuwa akipiga simu kwa mume wangu na kupanga namna ya kukutana na si mara moja, ni mara nyingi tu hivyo nilichokifanya mimi ni kuanza kuifuatilia namba yake na kumtafuta hadi hapa kazini kwake kuja kumshikisha adabu,” alilalama mwanamke huyo.
Wakiachanishwa na wasamria wema.

“Kweli …. nilimshika na kuanza kumchapa vichwa… kama fundisho la kukaa mbali na mume wangu. Mimi mume wangu ‘amechunwa’ pesa zote za bodaboda…” alisema Joyce.
Aliyechapwa vichwa naye afunguka yaliyomkuta.
Aelezea shutuma ya kuiba bwana wa mtu.
Timbwili lote A-Z soma Uwazi.


0