MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

ANGALIA MELI KUBWA DUNIA MWAKA 2016


Moja kati ya usafiri unaotumika kubeba abiria au mizigo mingi kwa mara moja ni meli, meli ina uwezo wa kubeba watu hata zaidi ya 1000 kwa mara moja, mara nyingi meli ndio zinazotumika kubeba shehena kubwa za mizigo kama magari kutoka Japan kujaTanzania na kwingineko, mtu wangu wa nguvu nimekutana na video yenye list ya meli 10 kubwa duniani.