MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

‪BAADA YA KUTOKA MAREKANI MTOTO GETRUDE KAKARIBISHWA BUNGENI LEO, HIZI NDIO SENTENSI ZAKE‬

Mtoto wa Kitanzania Getrude Clement mwenye umri wa miaka 16 kutoka Mwanza, alihutubia viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa, New York Marekani kuhusu mabadiliko ya tabianchi.