SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

IMEBAKIA KIDOGO TU DVD YA PEACEKING DAVID KUTOKA NIGERIA KUKUFIKIA MTAANI KWAKO

Safari ya DVD ya Peaceking David kutoka Nigeria anayeimba kwa lugha ya Kiswahili hata kama hajui kuongea Kiswahili, kukufikia hapo ulipo imeiva na sasa ameweza kutengenezakava na Rumafrica tayari kukufikia mtaani. Endelea kufuatilia blog hii kujua lini itakuwa mitaani, ila kwa sasa unaweza kusikia na kuangalia video yake ya NAENDA Youtube na EATV kila siku saa 11 alfajiri

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017