MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

EVENT YA THE MOMENT BEFORE THE KING YAAHIRISHWA


Jumapili hii ilikuwa ifanyike event iliyopewa jina la The Moment Before the King pale Makumbusho nyuma ya Millenium Tower.Kwa mujibu wa waandaaji wa event hiyo kundi la Borne Kings event hiyo imeahirishwa mpaka hapo itakapotangazwa tena.Kwa wakati tofauti team member wawili kati ya watatu wanaounda kundi hilo wameiambia Hosanna Kwanza kuwa kumetokea sababu nyingi zilizo juu ya uwezo wao ikiwemo mmoja wa memba wa Kundi hilo Bro Elly Joh kufiwa na baba yake siku chache zilizopita