MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

HABARI NJEMA KWA WATUMIAJI WA TWITTER

Twitter inatarajia kufanya mabadiliko makubwa katika namna inavyohesababu herufi za tweets na hivyo kuwapa watumiaji uhuru wa kuandika ujumbe mrefu zaidi.
Kampuni hiyo hivi karibuni itaacha kuhesabu picha na link kama sehemu ya herufu 140 za kikomo cha ujumbe unaoandikwa. Mabadiliko hayo yanaweza kuanza kuonekana katika wiki mbili zijazo.
Kwa sasa Links zinachukua herufu 23 hata baada ya Twitter kuzifupisha.