MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

KONGAMANO LA VIJANA FPCT MAGU LAFANAJumapili iliyopita ya May 22, 2015 lilifanyika Kongamano la Vijana lililoandaliwa na Huduma ya YOUTH FOR CHRIST MISSION(YCM). Kongamano hilo lilifanyika katika Kanisa la FPCT Magu-Mwanza na kuhudhuriwa na vijana toka madhehebu mbalimbali huku waimbaji mbalimbali pia walipata fursa ya kuhudumu katika Kongamano hilo.


Baadhi ya Waimbaji waliohudumu ni Adolph R. Nzwalla, Z. B toka Kenya, FPCT Magu Praise Team, pamoja na kwaya mbalimbali kama Bethania Choir na Vijana Amka Band.


Muhudumu wa Neno katika Kongamano hilo alikuwa ni Felista N. Emmanuel pamoja na Emmanuel Sowane. Hebu tazama namna mambo yalivyokuwa…..

Felista Emmanuel akiwa tayari kuhudumu kwa Neno

Baadhi ya Vijana wakiwa katika Kongamano

Z. B na Adolph Nzwalla wakihudumu

Vijana katika kongamano

Z. B na Adolph Nzwalla waki-perform

Vijana katika kongamano

Sifa ilipopamba moto

Z. B aki-perform


Vijana wakifuatilia jambo katika kongamano


Baadhi ya Waimbaji wa FPCT Magu Praise Team

Emmanuel Sowane, Felista Emmanuel na Adolph Nzwalla

Daniel, John na Dismas

YOUTH FOR CHRIST MISSION(YCM) ni Huduma inayojitegemea(isiyo chini ya dhehebu lolote) yenye lengo la kuhubiri injili kwa vijana ili wamjue Kristo na waishi maisha matakatifu kulingana na Neno la Mungu.