MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

KWAYA YASHANGAZA WAUMINI WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI 01.05.2016Siku ya Jumapili ya 01.05.2016 ilikuwa ni siku ya tofauti sana katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kutokana na waimbaji wa kwaya ya Joybringer na Kwaya ya Happy Kwaya. Kwaya hizi zimetokewa kupendwa sana kila mtu aliyesikia nyimbo zao. Wakati waimbaji hawa wakiimba nyimbo zao, waumini wa kanisa hili walikaa kimia wakisikiliza ujumbe mzito ambao uliweza kupenya hadi ndani yao. Waumini walijikuta wakimiminika madhabahuni kuwapongeza waimbaji hawa. Ibada hii iliongozwa na mbeba maono wa kanisa hili la Mlima wa Moto Mikocheni "B" wakifuatia watumishi wengine kama Mch. Noah Lukuma. Mch Francis, Mch. Elizabeth na wengine wengi