RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAMA AJIFUNGUA AKIWA NA UMRI WA MIKA 70


Mama mwenye umri wa miaka 70 nchini India amepata mtoto na mumewe mwenye miaka 79, Daljinder Kaur na mume wake Mohinder Singh Gill wamekuwa katika ndoa kwa miaka 46 lakini hawakuwahi kupata mtoto wala mama huyo kushika mimba wakiamini kwamba walikuwa ‘wamelaaniwa na Mungu’.

Mwezi uliopita Bibi huyo alijifungua mtoto wao wakiume na ameingia kwenye rekodi ya dunia ya mwanamke wa kwanza kuzaa mtoto katika umri huo.