MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MCH. NOAH LUKUMAY AMTABIRIA DADA MWENYE KIDONDA KUPONA NDANI YA SIKU SABA KATIKA IBADA YA MLIMA WA MOTO 15.05.2016

Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" Noah Lukumay siku ya Jumapili aliweza kumtabiria na kumuombea muumini wa kanisa hilo ambaye alikuwa anasumbuliwa na kidonda mguuni na kuvimba. Dada huyu siku ya Jumatano ya wiki hilo aliweza kufika katika ibada akiwa hajiwezi kabisa kutembea na aliweza kuombewa na mch. Noah Lukumay na baadae kuruhusiwa kwenda nyumbani, lakini dada huyu hakuchoka na siku ya Jumapili 15.05.2015 aliweza kufika katika ibada ya KUREJESHEWA Mlima wa Moto Mikocheni "B" na aliweza mkuombewa na kutabiriwa ya kuwa siku ya Jumapili 22.05.2016 atakuja kanisani akiwa apona kabisa. Mch. Noah Lukumay aliomba kanisa zima kunyoosha mikono ikikelekea madhabahuni alipokuwepo huyu dada na kumuombea.