Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » MZEE MAJUTO AMEACHA UIGIZAJI NA KUMRUDIA MUNGU ...


Sanga Rulea 3:11 PM 0

Mzee majuto ambaye amejipatia umaarufu sana kwa uigizaji hususani katika Comedy ametoa kauli rasmi kuwa kwa sasa ameamua kuachana na kazi hiyo ya uigizaji na sasa kumtumikia Mungu na kuomba asamehewe makosa kwa yale aliyotenda nyuma.

Mzee Majuto amesema kuwa kwa sasa anaamini anaweza kuishi bila kutumia kipaji chake hicho cha ugizaji na muda huu atatumia kumuomba Mungu amasamehe makosa aliyotenda na kudai kuwa anaamini itawezekana kwani Mungu ndiye anayetoa ridhiki kwa kila mtu.
"Mashabiki zangu nawaomba wawe na amani tu kwa maamuzi yangu haya kwani hakuna kitu ambacho kinaishi milele kwani ni Mungu pekee ndiye anayeweza kuishi milele, imefika wakati nimeamua kumpuzika na kumtumikia Mungu, naamini maisha yatakwenda kwani kuna watu ambao hawana vipaji ila wanaishi vyema, wanatibiwa na maisha yao yanakwenda salama hivyo hata mimi nitaishi vyema' alisema Mzee Majuto.«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS