PICHA 3 ZA MAPOKEZI YA NABII ETHEL PHIRI KUTOKA ZAMBIA AKIPOKELEWA NA BISHOP MARY LUTUMBA

Prophétesse ETHEL PHIRI kutoka Zambia kwa ajili ya hili kongamano la kina maman na kina dada ambayo litaanza leo,amewasili Tanzania salama amepokelewa na Bishop Mary Lutumba