Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » PICHA: JOSE MOURINHO AMESAINI MAN UNITED, TAARIFA RASMI KUTOKA SKY SPORT


Sanga Rulea 5:44 PM 0
Huenda huu ndio ukawa mwisho wa headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kujiunga na klabu ya Man United, kwani taarifa kutoka mitandao mingi ya soka Ulaya ikiwemo Sky Sport unaripoti kocha huyo kujiunga na Man United.

Sky Sport wameripoti Jose Mourinho kusaini mkataba rasmi na Man United, kinachosubiriwa ni uongozi wa klabu hiyo kumtangaza tu, kwani leo May 26 ameonekana katika hoteli London akiripotiwa kuwa alikuwa na kikao na mtendaji mkuu wa Man United Ed Woodward.

Video ya ripota wa Sky Sport akithibitisha Jose Mourinho kujiunga Man United bonyezahapa

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS