TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA ZIKUONYESHA MUINGIZAJI NGULI WA NOLYWOOD OMOTOLA JALADE ALIPODHURIA KONGAMANO LA WANAWAKE WA KIKRISTO NCHINI NIGERIA

Omotola Jalade kwa sasa ndio main Icon ya Nollywood hususani kwa upande wa kinadada,jumamosi iliyopita Omotola alihudhuria Kongamano na wanawake lilioandaliwa na huduma ya Victorious Army Ministries iliyoko eneo la Ikeja jijini Lagos.Katika Kongamano hilo liliowahusisha wanawake mbalimbali wa nchini humo Omotola aliteka hadhira mara baada yab kuonekana kanisani hapo tayari kwa ajili ya Kongamano.Muda uliposonga Omotola alionekana aki-worship sambamba na watu wengine kanisani hapo kitendo ambacho kimeonyesha upande wa pili wa msanii huyo

Back to +255 kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wasanii kutokwenda kabisa kanisani hususani mara baada ya kupata majina, na wengine walianzia sanaa zao kanisani.Kama kanisa ni jukumu letu kuwapenda ma Celebrities wetu na kuwaonyesha upendo wa dhati katikati ya maneno na vitendo wanavyohusishwa navyo kwa kuwa kanisa ni sehemu ya makimbilio na si pa kupakimbia au kuwafanya wengine wapakimbie.


Lulu michael akiwa kanisani