MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

SPIKA WA BUNGE KAUWEKA WAZI MPANGO HUU ILI KUWATAMBUA WALEVI BUNGENI


Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.

May 23 2016 tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine, moja ya habari kubwa ni kutoka Gazeti la Nipashe yenye Kichwa cha habari ‘Spika afichua wabunge wavutao bangi, unga‘.

Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe baada ya kufanya nae mahojiano juu ya hatua ya Rais Magufuli kumtimua Kitwanga katika baraza lake la mawaziri kwa sababu aliingia bungeni na kujibu swali la Wizara yake akiwa amelewa.

Kutokana na hali hiyo Spika Ndugai amelieleza gazeti la Nipashe sasa wanafikiria kuweka vifaa maalumu vya kupima ulevi kwa watunga sheria hao na kutafuta wataalamu wa ushauri nasaha watakaowapa msaada wa kisaikolojia.

#NIPASHE Spika wa bunge, Ndugai asema wapo wabunge wanavuta unga na bangi, sasa wanafikiria kufunga vipimo kuwabainipic.twitter.com/ppalZ9FYQG

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016


#MWANANCHI Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi jiji Dar, Kabwe imesema kifo cha Kabwe hakikutokana na mshituko wa ajirapic.twitter.com/nyNvAuYXin

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016

#JamboLEO Mama wa binti aliyebakwa Moro amedai amekuwa akitishiwa kuuawa na watu wasiojulikana pic.twitter.com/5Yw1Bq9Qbe

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016


#NIPASHE TRA Tanga imekusanya zaidi ya mil 39.8 baada ya kuuza mifuko 584 ya sukari iliyoingizwa nchini kinyemelapic.twitter.com/fxFFjze3Qz

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016

#UHURU Serikali imetoa siku 21 kwa benki zilizokuwa zikiingiziwa fedha za watumishi hewa kuwataja wahusikapic.twitter.com/oYMmSHbBWz

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016

#TanzaniaDAIMA Zao la kahawa limetajwa kuwa na umuhimu mkubwa kwenye uchumi wa taifa, limeingiza bil 270 kwa 2015/16pic.twitter.com/G30q5U44A9

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016

#MWANANCHI CCM imesema haitamuadhibu Kitwanga mara mbili, wadau washauri kutomteua mrithi wake ndani ya mfumo pic.twitter.com/9FLu5Ret5F

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016

#MWANANCHI Diwani Singida azuiwa kutangaza mchango wa madawati kwa kilichoelezwa alikuwa amelewa pombepic.twitter.com/p4Jeh9RejN

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016

#MWANANCHI Ripoti WHO imeeleza kuwa baada ya kuingia karne ya 21, maisha ya binadamu yameongezeka kwa miaka mitanopic.twitter.com/p3ADUpZVRX

— millard ayo (@millardayo) May 23, 2016

#MWANANCHI Ajirusha kwenye kundi la Simba, mwenyewe asema ni ufunuo alishushiwa na Mungu, walinzi wamuokoapic.twitter.com/BOihvRg0sT