Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » VIDEO: KITUKO ALICHOWAHI KUFANYA REFA ATAKAYECHEZESHA FAINALI YA UEFA MAY 28 2016


Sanga Rulea 11:51 AM 0

Baada ya kumalizika kwa michezo ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kushuhudia klabu kutoka mji mmoja Real Madrid na Atletico Madrid zikifanikiwa kufika hatua ya fainali ya UEFA 2016, jina la refa atakayechezesha mchezo huo limetangazwa kuwa ni Mark Clattenburg kutoka Uingereza.

Mark Clattenburg mwenye umri wa miaka 41 alitangazwa kuwa refa wa kimataifa toka mwaka 2007, lakini siku saba kabla ya kuchezesha mchezo huo wa fainali katika jiji laMilan Italia, atachezesha mchezo wa fainali ya FA Cup Uingereza May 21 kati ya Man United dhidi ya Crystal Palace katika uwanja wa Wembley.

Clattenburg ni moja kati ya marefa bora kwa sasa lakini aliwahi kufurahisha watu pale alipoingia uwanjani akiwa kasahau kadi, wakati faulo inatokea anaangalia mfukoni anajikuta hana kadi hadi alipoletewa

Video Bonyeza hapa

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS