MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

VIDEO: PAUL MAKONDA NA MIPANGO YA UENDESHAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM


April 5, 2016 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam(Dar es Salaam Metropolitan Development Project).

Akizungumza na waandishi wa habari alisema…>>>’Mradi wa DMDP ni matokeo ya miradi miwili mikubwa inayotekelewa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi.Mradi wa kwanza ni ule ujulikanao kama Mradi wa uendelezaji wa miji minane kimkakati (Tanzania Strategic Cities Project – TSCP) unaotekelezwa katika Majiji ya Arusha, Mwanza na Mbeya,Dodoma, Kigoma Ujiji na Manispaa ya Kigoma Ujiji’ – Paul Makonda