MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

#AUDIO: TUZO ZA NDOA KWA WANANDOA WA MUDA MREFU KUTOLEWA TANZANIA

Hii taarifa imeripotiwa na BBC swahili ambapo imeeleza kuwa ndoa za kikatoliki zikifungwa zimefungwa pamoja na sharti hilo, viwango vya ndoa zinazovunjika zinaendelea kuongezeka na kufuatia hali hiyo, kanisa katoliki limeamua kuanzisha tuzo maalumu kwa wanandoa wakongwe zaidi kwa mwaka huu katika kanisa hilo.