Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » » BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE AMPONGEZA CHRISTINA SHUSHO KWA KUJIPENDA KIMAVAZI, KIHUDUMA NA KAZI ZAKE KUWA QUALITY


Sanga Rulea 10:26 AM 0

Siku ya Jumapili 19.06.2016 mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Christina Shusho aliweza kufika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwaajili ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare ambaye ametokea kumpenda sana mwimbaji huo kwa ubora wake na kujiweka smart kuanzia kazi zake na yeye mwenyewe, alikuwa na haya ya kusema kwa waamini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"

Ninayofuraha ya pekee sana kwaajili ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho. Amekuwa akihudumu tangia akiwa msicha mdogo. Nakumbuka alivyokuja hapa kanisani kwa mara ya mwisho alikuwa mwembamba sana, lakini ninachomshukuru Mungu ni kwamba bado anaendelea kulinda ushuhuda.Na mimi ninafurahi sana katika huduma yake kuwa “Quality” kwa kila jambo. Yaani ni kama mzungu Fulani, kiatu chake “Quality” nguo yake “Quality”.

Unajua mtu anaweza kujivalia vyovyote lakini Christina Shusho amekuwa akichagua mavazi mazuri kwaajili ya BWANA na yenye heshima. Mungu amempa “shape” na kila kitu, ni mwanamke mzuri, muangalie alivyojisimamisha. Lakini wangekwa watu wengine wangeanza kutikisa miili yao vibaya ili watu washikwe na tamaa ya mapenzi. Mimi nasema usikatike hapa kanisani kakatike chumbani kwako huko na sio hapa madhabahuni.

Mimi ninafurahia sana mtu akiwa “Order”. Nyimbo zake ni nyimbo za kiutu uzima, za heshima, ni tamu na ukicheza hutokwi na jasho
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS