TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

BWANA NA BIBI HARUSI WATARAJIWA WAVISHANA PETER SIKU YA UFUNGUZI RASMI WA SEMINA YA CROSSOVER MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Siku ambayo wanandoa watarajiwa hawataisahau ni siku ya Jumapili 26.06.2016 ambapo Bwana harusi mtarajiwa aliweza kuonyesha umahiri wake na upendo wake kwa mke wake mtarajiwa kwa kumvisha pete ya uchumba katika madhabahu ya Mlima wa Moto Mikocheni "B". Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na Mch. Noah Lukumay waliweza kuwaombea na kuwatakia maandalizi ya uchumba wao kuelekea maisha mapya ya mume na mke. Tunahitaji kuwaombea ili Mungu awafanikishe katika safari yao hii..

 Bishop Dr. Gertrude Rwakatare (kulia)

 Mch. Noah Lukumay (kushoto)