RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DADA APONA NA ROHO YA UMAUTI BAADA YA KUOMBEWA NA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE


Katika ibada ya Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 29.05.2016 dada aliweza kujitokeza madhabahuni na kushuhudia jinsi Mungu alivyomtendea kwa kumponya na Roho ya Umauiti iliyokuwa ikimyemelea wakati kufanyiwa upasuaji. Pia alimshukuru Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa kumsaidia kimaombi na kifedhaNaomba sasa umsikilize alichokisema katika clip hii hapa chini