HELLEN ALIYESOMA SHULE YA ST. MARYS MBEZI ATAJWA NA FORBES KUWA BILLIONEA AJAE..MSIKILIZE

Hellen mwenye hofu ya Mungu, mwenye bidii ya kufanya kazi, anayependa kujifunza, mjasirimali mkubwa, mwenye kuthubutu, mwenye msimamo katika maamuzi yake, mbunifu, na sifa nyingi azungumzia siri ya kufika hapo alipo mpaka anatajwa kuwa Billionea mtarajiwa. Tumsikie