Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » EFATHA MWENGE: MCHUNGAJI DAVID MWAKISOLE: KUBALI NA KUTII ILI ULE MEMA YA NCHI


Sanga Rulea 5:46 AM 0

 Zaburi 126:5-6 ” Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha. Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.” • Usipo kubali kupanda wakati wa maumivu sahau kuvuna, • usipo kubali kutii wakati wa maumivu sahau kuvuna. • Biblia inaweka wazi kabisa kuwa ili mtu avune kwa furaha ni sharti akutane na maumi, kwasababu Baraka alizopewa na Mungu aliziuza kwa adui haziko mikononi mwake hivyo ili kuzipata kuna maumivu, vita na ibilisi na atakaye shinda ndio atakaye zichukua hizo Baraka. • Unapoamua kumfuata Mungu na ukakutana na jambo lolote ambalo linakukatisha tamaa usiliangalie bali angalia palipo na Baraka zako, Nakutangazia ushindi kwa jina la Yesu.


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS