MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MAKUNDI YA KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018 UKANDA WA AFRIKA


Usiku wa June 23 2016 shirikisho la soka barani Afrika CAF lilichezesha droo ya Makundi ya ukanda wa Afrika, timu ambazo zitawani kufuzu Kombe la dunia 2018 Urusi, makundi yamepangwa matano na kwa taratibu ukanda wa Afrika unatoa timu 5, hivyo katika makundi hayo matano kila Kundi kinara ndio atafuzu michuano hiyo.


GOAL AND HIGHLIGHTS: MO BEJAIA VS YANGA JUNE 20 2016, FULL TIME 1-0