RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JIANDAE KUPATA JARIDA LA GOSPEL KWANZA


Jarida la Gospel kwanza ni moja kati ya majarida ya injili yanayofanya vyema sana hapa nchini kwa sasa, hivi karibuni toleo la pili la jarida hili linatarajia kuingia sokoni.Akiongea na Hosanna Kwanza managing director wa jarida hili brother Emmanuel Landey amesema mpaka sasa jarida hili limesha kamilika na wanamalizia mambo machache ili liweze kuingia sokoni. Katika jarida lililopita ambapo ukurasa wa kwanza ulibebwa na mwanamama Christina Shusho ndani yake lilisheheni habari mbalimbali za wanamuziki wa injili pamoja na mafundisho ya Neno la Mungu na motivation series toka kwa watumishi wa Mungu, Jiandae kupata nakala yako.