MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

AUDIO: BAADA YA KURIPOTIWA KIFARU KUPOTEA JWTZ WAMEZUNGUMZA HAYA

Moja ya gazeti limeripoti habari ya kupotea kwa Kifaru cha Jeshi la wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’, baada ya taarifa hizo kusambaa Kanali Ngemera Lubinga amekanusha taarifa hizo za kuibwa kwa kifaru hicho na amesema gazeti hilo linatakiwa kuomba radhi mara moja na wakishindwa kufanya hivyo hatua kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.

>>>’Kifaru kweli kinaweza kweli kubebwa na watu watatu halafu kifaru si bajaji au Landrover, kifaru kinahitaji the highly trained personal kukiendesha sasa kitapoteaje wale wana matatizo yao mengine wanayoyajua’:-Kanali Lubinga

>>>’Na tumemwambia hasipotoa maelezo na sasa tunataka kuonyesha ukatili hauepukiki kwenye watu waovu maanna anavuruga image ya nchi, maamuzi ni kwamba akamatwe aombe msamaha na atashughulikiwa na yeye ndio atawaeleza ameshughulikiwaje’:- Kanali Lubinga

Unaweza kubonyeza play hapa chini