MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MAAMUZI YA SERIKALI YA UINGEREZA, BAADA YA MASHABIKI WAKE KUPIGWA UFARANSANi siku chache zimepita toka michuano ya Euro 2016 ianze na tushuhudie mchezo kati ya timu ya taifa ya England dhidi ya timu ya taifa ya Urusi ikimalizika kwa sare ya goli 1-1, katika mchezo huo vurugu zilitokea na mashabiki wa England waliripotiwa kupigwa na mashabiki wa Urusi.
Baada ya vurugu hizo serikali ya England imethibitisha kupeleka maafisa usalama wake katika mchezo wa pili wa England itakaocheza dhidi ya Wales June 16 2016, maamuzi hayo yanakuja saa chache baada ya Ufaransa kuwarudisha mashabiki 29 wa Urusinchini kwao kufutia vurugu hizo.