VIDEO: MENEJA WA BENKI YA CRDB ATOBOA SIRI DHIDI YAKE NA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

Meneja wa Benki CRDB Tanzania Bwana Godwin Maimu (Nnyaka) na ni murugenzi wa kampuni ya  Nnyaka Production aliweza kutoa ya moyoni kuhusu Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na pia siri ya mafanikio yake kupitia Bishop huyu wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"

Godwin Maimu (Nnyaka)